Katika mtaa unaoishi kuna baba mmoja alimkamata mtoto kwa kosa la kumtania kwamba anakichwa kama mafiga,Baba yule alimchukua mtoto yule mpaka kwa baba yake kumshitaki. Mambo yalikuwa hivi
Baba wa kwanza:Eeh bwana we,huyu mtoto naona sasa
tabia yake inaanza kuvuka
mipaka,Hawezi kunitukana mi
na kichwa kama mafiga! Mara mtoto akadakia
Mtoto: Baba huyu ni mwongo yeye ndo kaniambia kwamba
eti mlipokuwa mnasoma kuna
siku walikukimbiza halafu
wakakubaka! Eti baba ni
kweli? Baba wa mtoto: Ilibidi kuchukua panga ndani na
kuanza kumfukuza jamaa Mtoto full kucheka