©COPY SMS AND PASTE IN YOUR MOBILE FONE
SWAHILI LOVE SMS
Usia wangu kwako .BINADAMU: Wakikukwepa ucjali, Ipo siku watakutafuta. Wakikusengenya Nyamaza Huenda watajifunza. Wakikununia Omba Mungu Ipo siku Watakuchekea. Wakikupongeza Usiwaamini labda Wanakujoki. Wakikutenga Achana Nao, Wao sio kila kitu. Wakikudhulumu Shukuru, Mungu atakulipa. Wakikualika kuwa Makini isiwe Wanakutega. Safar njema.I MIC YOU
send sms
♥Watu wanao pendana daima hukumbukana!!! Na salamu kusalimiana!!! Afya njema kutakiana!!! Huruma huoneana!!! Kwenye shida husaidiana!!! Makosa husameheana!!! Katika dhiki huvumiliana!!! Kila jambo zur hupeana!!! Maneno mazur yaliyo jaa upendo huambiana!!! Ushaur mwema hushauriana na njia za mafanikio huonyeshana!!! Mbele ya madui hulindana!!!nai ni mmoja katia ya wakupendao,hakika ni mm wa kwanza kwanza wengine wanafata♥
send sms
Atakaekoga na akakesha kumdhikir M/Mungu na akafunga siku ya kwanza ya mwezi wa RAJAB na siku ya kati (mwezi 15) na siku ya mwezi 27, anasafika kama siku aliyozaliwa hana dhambi hata Moja. Na atakaefunga mwezi 13,14, na 15 RAJAB Mtume Muhammad (SAW) atamchukulia dhamana ya kumuingiza Peponi na ataingia. wakumbushe angalau waislamu wenzio watatu, WABILLAH TAUFIQ.wapbuzz.xtgem.com
send sms
Nimetembea ardhini kutafuta mfano wk,nikaangaza hewan nimpate nusu yk,nikazunguka duniani nimuone robo yako,kwakwel cjabahatika nafac hii ni yk.ilove u my hearty mungu akuweke akupe maisha mazur yenye furaha na upendo.g9t dear miss u somuch. wapbuzz.xtgem.com
send sms
Usiwachukie wa2 kwa sura zao,wapende kwa tabia zao,usiwaamin kwa kauli zao,washuhudie kwa matendo yao,usiwadharau kwa ufukara wao,waheshimu kwa utu wao,usiwajal kwa kipato chao,wape heshima kwa iman zao,usiwabeze kwa uduni wao,bali wahurumie kwa udhaifu wao,mola akuwezeshe hayo na ziada ya kheri nyingine.AAMIN" wapbuzz.xtgem.com
send sms
.:""""\_____.-.-._ ( 0 .-----------' '---' Tunza ufunguo huu,utautumia kufunga mwaka 2011 & kufungulia 2012. Mungu alizigawa nikakuchukulia na wewe wapbuzz.xtgem.com
send sms
Mapenz c pombe lkn yanalewesha,wala c dawa lkn yanaponyesha,wala c maradhi lkn yanaua,wala c kifo lkn yanaliza yanafurahisha,wala c fimbo lkn yanaumiza. wapbuzz.xtgem.com
send sms
USikimbie nyuki ukakosa asali, utamu wa samaki ni kula na wali, usizidishe siki akawa mkali. Ni mimi niliye na dhiki nakujulia tu hali. wapbuzz.xtgem.com
send sms
,%'''% ,.,..%'''%, %' % '% MWAAH %' '%, , %' "%,:,%" Ucmwambie m2 km nimekukiss! Jioni njema wapbuzz.xtgem.com
send sms
('.') Mh! <( )> _/ /_ Nmechoka kusimama hapa kusubiri sms yako ya kunitakia usiku mwema. Naenda zangu kulala miguu isije ingia ndani bure...!GD9T wapbuzz.xtgem.com
send sms
Kama upendo ni tone la mvua nakutumia !!!!! !!!!! !!!!! Kama furaha ni ua nakutumia maua *%*%* )!( ( ) kama tabasamu ni sekunde nakutumia masaa . '12' . 9 _/ 3 ' .6. ' kama maombi ni maji nakutumia bahari -_-_-_-_-_- -_-_-_-_-_- -_-_-_-_-_- kama mafanikio ni majani nakutumia miti ,:*"*;, ,:*"*;, *;% ,,* *; %,,* __)(__ __)(__ kwasababu nataka uwe na furaha cku zote.! wapbuzz.xtgem.com
send sms
Namuomba allah aliye mwimg warhma 1.Akuzidishie hadhi yako 2.Akuondoshee matatizo yako 3.Akubark ktk life yako 4.Akujalie Husnal Khatima wakat wa mauti yako 5.Na akujalie JANNA AL FIRDAUS iwe maskan yako ALLAHUMA AMEEN J MOS KARIMU wapbuzz.xtgem.com
send sms
Usiku Ni "utulivu" Usiku Ni "mzuri" Usiku Ni"upole" Usiku Ni "kimya" Lakini Usiku Haujakamilika Bila..Kukutakia Wewe.. U S I K U=m=w=e=m=a. wapbuzz.xtgem.com
send sms
Mapenzi ni magumu na yatabaki kuwa hivyo, lakini kumbuka kuna akupendaye naye ni MIMI!. wapbuzz.xtgem.com
send sms
©ARIFLULA. CREAT BY WAPBUZZ.XTGEM.COM
Log in