Baada ya kukosa kuuawa kwa
panya janja mara nyingi mwenye
nyumba aliamu kurosti kitimoto
na kutia sumu kali kumtega
panya janja. Panya janja usiku
wa manane akiwa na njaa kali akakumbana na msosi mkali
kwanza akawaza moyoni "huu
sio upendo lazima kuna kitu
hapa isije nikafa kizembe"
ndipo alipoamua kuandika
kimeseji ee bwana mi dini yangu hainiruhusu kula kitu haramu
hicho.