XtGem Forum catalog
Sm gen 2 1 thumb 36
Kanisa moja hapa nchini,padri mmoja alikuwa akiwafungisha ndoa wapendanao mambo yalikuwa kama hivi:
Padre:: Je john peter unampenda janeth jack na uko tayari kufunga nae pingu za maisha?
John:Mzuka nampenda kinyama
Padre: Je janeth jack unampenda john na uko tayari kuishi nae katika maisha ya ndoa?
Janeth:Kinamna,mzuka kupita kiasi
Padre: Oya acheni usenge,mnajua mpo kanisani humu
Je ni nani ambaye ametenda dhambi ?