1..Kama hela haioti kwenye
miti kwanini bank zina
matawi.
2..Kwanini gundi haigandi
kwenye chupa yake?
3..Kama tunatakiwa tusi-drive wakati tumekunywa, kwanini
bar kuna parking?
4..Kama neno abbreviation
linamaanisha ufupisho kwanini
lenyewe ni refu.
5..Kama tunatakiwa kufanya mapenzi ndani ya ndoa tu, kwanini
tunabalehe kabla ya kufunga
ndoa? Nitumie majibu kupitia +255777000380 Zawadi nono imetayarishwa kwa mshindi