Nadhani kwa vituko TZ, inaongoza mara rais mstaafu kapigwa kofi hadharani,mara
ikulu kuungua na moto, mara msafara wa rais kupata ajali mara mbili mfululizo,mara
bungeni kuonekane unga unga uliohusishwa na ushirikina,wimbo wa taifa kugoma kulia mbele ya mkuu wa nchi pale uwanja wa taifa,mkuu wa wilaya kuchapa walimu viboko,majengo ya ghorofa kupolomoka,mabomu kule mbagala,uchakachuaji wa mafuta na kura, Rais kuzimia na kuanguka jukwaani. Mgombea urais CDM aanguka bafuni na kuvunja mkono...n.k HAYO YOTE KWA MUDA WA MIAKA 5.