Jamaa wanne walitaka kumuoa Binti wa baba mmoja! Sasa Baba wa binti huyo akawapa mtihani mmoja. Akawapeleka sehemu yenye bwawa kubwa lililo jaa mamba wengi sana. Akawaambia kama kutakuwa na mtu ambae atapita juu ya hao mamba na kutokea upande mwingine atamchukua Binti yangu................Mara akasikia mtu yumo tayari kwenye
bwawa na ameshatokea upande wa pili..basi baba akapigwa na butwaa......lakini yule kijana akasema:: Mi mke sitaki sema nataka nijue nani aliye nisukuma humu kwenye bwawa.